Ikiwa inasalia wiki tatu kabla ya uchaguzi mkuu kuanza rasmi 2 Julai, baadhi yawa Australia wame anza kupiga kura zao, shughuli hiyo imeanza rasmi mapema hii leo Jumanne tarehe 14 Julai.
Idadi kubwa yawatu wanatarajiwa kupiga kura zao mapema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, inatarajiwa watakao piga kura mapema mwaka huu, watazidi asilimia 27 ambayo ni rekodi iliyo wekwa katika uchaguzi wa mwaka wa 2013.
Share





