Nafasi zinazo waniwa ni:
- Mwenyekiti
- Naibu Mwenyekiti
- Katibu
- Mratibu wa Teknolojia (nafasi mbili)
Bw Patrick ni Afisa wa Habari katika shirika la KCV, naye Bw Shoeb ndiye kiongozi wa uchaguzi huo.
Katika mahojiano na SBS Swahili, wawili hao walifunguka kuhusu maandalizi ya upigaji kura pamoja na utaratibu waku tangaza matokeo ya kura hizo.
Kwa taarifa zaidi kuhusu uchaguzi huo, tembelea mitandao ya kijamii na tovuti ya KCV.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.