Tukio hilo ambalo hufanywa wakati wa Wiki ya Wakimbizi, Kombe la Uhuru huwaleta pamoja wachezaji kutoka mazingira ya ukimbizi na mashirika ya serikali, kusherehekea ujasiri, uhusiano na kujumuishwa.
SBS imekuwa ikizungumza na mchezaji aliyekimbia vita nchini Ukraine akiwa na mkewe, na alipata tumaini, uponyaji na jamii.