Wallabies waadhibu All Blacks

Kurtley Beale of the Wallabies scores a try during the Bledisloe Cup match against the New Zealand All Blacks in Perth Source: AAP
Mechi kati ya Wallabies wa Australia na All Blacks wa New Zealand, mara nyingi huzua hisia mseto kati ya marafiki, familia na washiriki.
Share