Wanafunzi wakimataifa wapata ushindi mahakamani dhidi yaku fukuzwa katika nyumba zao

Wanafunzi wapangaji wapata ushindi dhidi yakufukuzwa

Haijawa rahisi kwa wanafunzi wakimataifa kukodi nyumba, wakati wa janga la coronavirus. Source: Getty

Wanafunzi wakimataifa wanao kabiliwa na tisho lakufuzwa wanako ishi, wame pata ushindi wakisheria mjini Melbourne, baada yakuthibitisha changamoto wanazo kabili zakifedha zimesababishwa na COVID-19.


Wanasema watu wengi wenye viza za mpito, hawajui hakizao na bila msaada wa chama kipya kilicho undwa kuwasaidia wangesalia bila makazi.

Kama unakabiliana na changamoto kifedha, Tembelea tovuti hii kwa msaada www.moneysmart.gov.au au pigia simu namba yakitaifa ya msaada wa deni. Namba hiyo ni: 1800 007 007.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service