Unataka kujiweka sawa? Jaribu mpira wa miguu wa kutembea

Queensland'de çekişmeli bir yürüyüş futbolu kaşrılaşması. Source: SBS
Mpira wa miguu wa kutembea ni toleo la kandanda lililobadilishwa ambalo linapata umaarufu haraka miongoni mwa rika la zaidi ya umri wa miaka hamsini. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011, zaidi ya vilabu 800 tayari vimeanzishwa nchini Uingereza. Australia inafuatia Shirikisho la Mpira wa Miguu Australia kupanga kuanzisha vilabu vidogo 110 vya mpira wa miguu nchini kote ifikapo mwakani.
Share