Harakati yakitaifa inaongezakasi wapangaji wanapo endelea kuomba hatua ichukuliwe kwa kodi za nyumba.
Takriban idadi yawatu wapatao elfu kuminasaba, wamejisajili tayari kushiriki katika harakati ya mgomo wakulipa kodi nchini kwa sababu ya Covid-19, wakati mashauriano ya serikali yamekwama.
Inatarajiwa kuwa serikali zamajimbo na wilaya, huenda zikatangaza hatua katika sikuzijazo. Majimbo ya New South Wales na Victoria, yanatarajiwa kupunguza kodi ya ardhi kwa wenyenyumba, iwapo watatoa msaada wa kodi.
Share






