Mpango wa serikali ya shirikisho wakufungua nchi, unakaribia ingia katika awamu nyingine.
Waziri Mkuu Scott Morrison ametangaza mipango yakuwaruhusu wasafiri wengi na watu wenye viza kutoka ng’ambo, waingie nchini baada ya karibu miaka mbili yakutoweza kuingia nchini.
Share






