Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.
Serikali ya shirikisho ina rekebisha mwelekeo wakiwizara unao hitaji Mahakama ya Rufaa ya Utawala izingatie uhusiano wa mtu nchini Australia inapo fanya tathmini yakufuta viza yake, baada ya hatua hiyo kutumiwa kumsaidia mubakaji aliye hukumiwa kubaki Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.






