Wasiwasi waibuka kuhusu msaada wa serikali kwa elimu ya juu

Wanafunzi wanne wasoma ndani ya maktaba ya chuo chao

Wanafunzi wanne wasoma ndani ya maktaba ya chuo chao Source: AAP Image/Moodboard

Serikali ya shirikisho imeshtumiwa kwa kuwapuuza wanafunzi wakimataifa, katika mfuko wake mpya wa misaada ya elimu ya juu.


Taasisi za elimu ya juu zitapunguza gharama ya baadhi ya mafunzo kuanzia mwezi ujao wa Mei, kwa ajili yakujaza pengo za ujuzi nakusaidia uchumi kupona, janga la coronavirus litakapo isha.

Wakati huo huo mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg, amesema serikali haina mipango yakubadili sheria zilizo tangazwa kama sehemu ya mfuko wake wa JobKeeper.

Unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service