Jeshi lapolisi latekeleza amri yakarantini katika majengo ya umma ya kitongoji cha Flemington, Melbourne Source: AAPAustralia imepitia moja yasiku yakiajabu, katika muda huu wa janga la coronavirus.
Published
By Sunil Awasthi
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Australia imepitia moja yasiku yakiajabu, katika muda huu wa janga la coronavirus.
Ongezeko lingine kubwa la visa jimboni Victoria, lime lazimisha mamlaka jimboni humo kuchukua hatua kali.
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus, katika lugha yako kwenye tovuti hii: www.sbs.com.au/coronavirus.