Watu ambao wako katika karantini nyumbani, wanakabiliana na masaibu gani?

Polisi wa Victoria wafanya ukaguzi wa walio katika karantini

Source: Victoria Police Media Unit

Serikali imeweka masharti makali kwa wanao wasili kutoka ng'ambo, wajiweke katika karantini kwa angalau siku 14.


Je ni changamoto gani zinawakabili watu ambao wanajiweka katika karantini, kama sehemu yakukabiliana na usambaaji wa virusi vya corona?

Aupulent alirejea nchini sikuchache zilizo pita, nakupata nchi ikiwa katika mazingira tofauti nayale aliyo acha. Amekuwa katika karantini ndani ya chumba kimoja nyumbani kwake, ambako alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS uzoefu wake katika karantini.

Umejiandaaje kuwa katika karantini iwapo itakuwa lazima kuchukua hatua hiyo?


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service