Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrisson, atoa taarifa kuhusu hatua zakukabiliana na Covid-19 Source: Getty imagesWaziri Mkuu Scott Morrison amesema nimapema kufanya mageuzi kwa mfumo wa Jobkeeper, hata hivyo haja tupilia mbali wazo lakufanya mageuzi hayo.
Published
Updated
By Greg Dyett
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Waziri Mkuu Scott Morrison amesema nimapema kufanya mageuzi kwa mfumo wa Jobkeeper, hata hivyo haja tupilia mbali wazo lakufanya mageuzi hayo.
Mradi huo wa ruzuku ya mshahara wenye thamani ya dola bilioni 130, uta tumiwa hadi Septemba ila, chama cha Labor kimeomba muda wa mfumo huo uongezwe.
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus