Serikali ya shirikisho inataka angalau asilimia 40 yawa Australia wapakue app yakufuatiliwa katika simu yarununu, kwa ajili yakusaidia kuwatambua watakao kuwa wamekutana na watu ambao wana Covid-19.
Waziri Mkuu Scott Morrison amesema matumizi makubwa ya teknolojia hiyo, yataruhusu vizuizi vya coronavirus kuondolewa.
Unaweza endelea kupokea taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus
Share






