SIku 100 zime pita tokea Rais John Pombe Magufuli alipo ibuka mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Alipo hotubia taifa, Rais Magufuli ali ahidi kuendelea kufanya kazi kwa maslahi ya watanzania wote. Mtangazaji wetu Frank Mtao, ana maelezo zaidi kuhusu siku 100 za uongozi wa Rais Magufuli.
Share





