SBS Swahili ilizungumza na Bw George Wachiuri ambaye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa Optiven Group, yenye makao makuu nchini Kenya.
Bw Wachiuri yuko nchini Australia akizungumza katika mikutano maalum kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya nyumba na ardhi nchini Kenya. Kwa maelezo ya ziada kuhusu Optiven Group, tembelea tovuti yao:
www.optiven.co.ke
Share





