Ni makosa gani madogo madogo hapa Australia?

Policeman stops woman driver to give her a traffic ticket for speeding. He takes her driver's license. Source: Getty
Kuna makosa kadhaa madogo madogo hapa Australia ambayo yanaweza kukusababishia shida ambayo huenda usiijue. Na madhara yake yake ni makubwa sana.
Share