Je ni mbinu gani bora yaku kabiliana na maswala kama haya?
SBS Swahili ilizungumza na kina dada kutoka jamii ya mashariki ya Afrika ambao wali changia maoni yao kuhusu swala hili.
Kama wewe au mtu unaye mjua ana kabiliana na swala hili, kuna shirika ambalo linaweza kusaidia: Relationships Australia www.relationshipsnsw.org.au 1300 364 277,
Share






