Titi na Mellz walichangia pia, mbinu zaku kabiliana na mageuzi yanayo fanyika kwa kasi katika tasnia hiyo.
Mbinu yakufanikiwa katika tasnia ya muziki ni gani?

Mfalme wa Rhumba Titi Nagwalla na Malkia wa Bongo flava Mellz Malika ndani ya studio ya SBS Swahili Source: SBS Swahili
Share