Wasi wasi na mvutano unapo endelea kuhusu ugaidi, na wakati vyombo vya usalama vina endelea na juhudi zaku zuia mashambulizi ya ugaidi wasichana wakisomali wali eleza SBS Swahili kuhusu madhara ya mashambulizi haya kwao.
Share
Published
Updated
By SBS Swahlii
Source: SBS
Share this with family and friends



