Je ongezeko la viwango hivyo, lime sababishwa na hali ya maisha, mazingira, maumbile au mchanganyiko wa sababu hizo tatu?
Unaweza tazama makala maalum ya runinga kuhusu mada hii kwenye tovuti ya SBS, haswa kwenye sehemu ya on demand. Makala hayo yana fuatilia kazi ya shirika la Austin Health mjini Melbourne, ambalo lina chukulia swala la ongezeko la uzito kama ugonjwa unao sababishwa na maumbile.
Share






