Je! ni ujuzi upi mtu anahitaji, kuwa kiongozi mzuri?

Warundi wa Sydney, NSW wapata viongozi wapya

Kiongozi wa zamani wa jamii yawarundi wanao ishi mjini Sydney, NSW atoa hotuba kabla yakuondoka madarakani Source: SBS Swahili

Baadhi ya viongozi hupendwa na wengine huchukiwa, kwa hiyo ni ujuzi upi ambao mtu anahitaji kuwa kiongozi mzuri, pamoja nakuweza kutekeleza mipango yake?


Idhaa ya Kiswahili ilizungumza na baadhi ya wanachama wa jamii yawarundi mjini Sydney, walio hudhuria sherehe yaku kabidhi mamla viongozi wapya wa jamii hiyo.

Wanachama hao walitueleza ujuzi ambao wanahisi kiongozi mzuri anastahili kuwa nao, kwa ajili yakuongoza jamii au shirika lolote kwa ufanisi.

Bofya hapo juu kwa makala kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service