Shirika la Afya Duniani (WHO) lime sema idadi ya watuwazima wenye ugonjwa waki sukari ulimwenguni, ime ongezeka mara 4 chini ya miongo mine.
Tokea mwaka wa 1980 idadi ya watuwazima wenyekuwa na ugonjwa wakisukari ni milioni 422. Kwa mujibu wa matokeo ya utafuti kwa ugonjwa wa Kisukari, watafiti wa shirika la WHO, wame sema kwamba mwongezeko wa idadi ya watu wenye umri mkuu na mwongezeko wa idadi ya watu wanene ulimwenguni, imechangia katika mwongezeko wa ugonjwa huo.
Share





