Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zime anza mazungumzo kuhusu, ujenzi wa kiwanda chakusafisha mafuta katika bandari ya Tanga, nchini Tanzania.
Katika hotuba yake wakati wa mkutano wa ufadhili mjini Nairobi, Rais wa Kenya William S Ruto alisema, kiwanda hicho kinacho pendekezwa kita hudumia nchi kadha za ukanda wa Afrika Mashariki.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






