Kila mwaka ma milioni ya watu hulazimishwa kukimbia nyumba zao kwa ajili ya usalama.
Wiki ya wakimbizi, ni kilele cha shughuli kila mwaka nchini Australia, kuelimisha umma kuhusu wakimbii pamoja nakusherehekea michango chanya inayo tolewa na wakimbizi katika jamii ya Australia.
Mandhari ya Wiki ya Wakimbizi ya 2022 ni Uponyaji.
Kwa taarifa zaidi kuhusu Wiki ya Wakimbizi tembelea: www.refugeeweek.org.au
Share






