Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Lucy Gichuhi atakakuwa mzawa wa kwanza wa Kenya kuwa Seneta nchini Australia?

Bango la kampeni ya uchaguzi la chama cha Family First Party (Australia)
Bango la kampeni ya uchaguzi la chama cha Source: Family First Party (Australia)

Siku chache zina salia kabla ya uchaguzi mkuu nchini Australia kuanza rasmi. Miongoni mwa mamia ya wagombea wanao shiriki katika kampeni za uchaguzi mkuu, ni mwanasheria ambaye pia ni mzawa wa Kenya Bi Lucy Gichuhi kutoka Kusini Australia.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Siku chache zina salia kabla ya uchaguzi mkuu nchini Australia kuanza rasmi. Miongoni mwa mamia ya wagombea wanao shiriki katika kampeni za uchaguzi mkuu, ni mwanasheria ambaye pia ni mzawa wa Kenya Bi Lucy Gichuhi kutoka Kusini Australia.

Bi Lucy Gichuhi anawania nafasi katika Seneti ya Australia kupitia chama cha Family First (Australia).

SBS Swahili ilizungumza na Bi Lucy kuhusu mipango yake kisiasa kabla na baada ya uchaguzi mkuu.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now