Katika mazungumzo hayo Bw Injera alizungumzia jinsi timu yake ilivyo pokewa walipo rejea nyumbani baada yaku shinda michuano ya Singapore Sevens.

Bw Injera alizungumzia pia kuhusu matarajio yao katika michuano ya Olimpiki baadae mwaka huu pamoja na, jinsi walivyo pokewa katika ikulu mjini Nairobi na rais wa Kenya.
Share





