Wito watolewa kwa waaustralia waungane kukabiliana na coronavirus

Viongozi waserikali zote nchini wajadili jibu la coronavirus

Viongozi waserikali zote nchini wajadili jibu la coronavirus Source: AAP

Hata wakati mfuko wakupiga jeki uchumi unatolewa kulinda uchumi wa Australia, mtazamo wa jibu hilo kwa sasa unageukia kufanyia tathmini mikutano inayo jumuisha watu wengi.


Swala hilo lilijadiliwa kwa kina, katika mkutano ulio jumuisha viongozi wa serikali za shirikisho, mikoa namajimbo.

Hatua hiyo imejiri baada ya mashindano yamagari kwa jina la Australian Grand Prix, kufutwa baada yamfanyakati wa timu ya McLaren Racing kupatwa anavirusi vya COVID-19.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Wito watolewa kwa waaustralia waungane kukabiliana na coronavirus | SBS Swahili