Mshauri wa Uhusiano Sehemu za Kazi, Neema Weda Ringo aongea kiunaga ubaga juu ya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake

Workplace Relations Advisor Neema Weda Ringo speak out on woman sexual harassment Source: Weda
Ukosefu wa taarifa na elimu juu ya masuala ya unyanyasaji wa jinsia kwa wanawake, kumewafanya baadhi ya waathirika wasijue kama wamenyanyasika na wengine wakitambua lakini wakishindwa kufahamu jinsi ya kupata msaada. Tuungane na Mshauri Weda Ringo akihojiwa na Frank Mtao
Share




