Mtangazaji wa SBS Swahili Frank Mtao alizungumza na Bi Faith Mwaura-mmiliki wa RE/MAX Heritage Kenya kuhusu kongamano la uwekezaji ambao kampuni hiyo kutoka Kenya ina andaa nchini Australia. RE/MAX Heritage Kenya, ime leta zaidi ya kampuni 5 kubwa kutoka Kenya ambazo zita shiriki katika kongamano hilo. Kwa maelezo ya ziada kuhusu shirika hilo, tembelea tovuti yao:
RE/MAX Heritage Kenya, ime leta zaidi ya kampuni 5 kubwa kutoka Kenya ambazo zita shiriki katika kongamano hilo nchini Australia. Kwa maelezo ya ziada kuhusu shirika hilo, tembelea tovuti yao:
www.remax-kenya.com/heritage
Share





