Mkutano wa kwanza utakuwa mjini Melbourne tarehe 17 Machi 2016 katika ukumbi wa Pullman Albert Park na mkutano wa pili utakuwa mjini Sydney katika ukumbi wa ANZ Stadium, Sydney Olympic Park.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu shirika la Optiven Limited na Bw George Waciuri, tembelea tovuti hizi:
www.optiven.co.ke
www.georgewachiuri.com
Share





