Msanii YABIN SHABANI ,maarufu wa nyimbo za dini, katika mji wa bukavu mkoani Kivu ya Kusini Mashariki mwa Congo, sasa ameanza kutoa nyimbo zinazo koasoa hali hio. Bw Yabin ametaja hali hiyo kama dhambi kwa Mungu, japo wengi husema kuwa haifai wahubiri na makasisi kuingilia siasa.
Sikiliza mazungumzo kati ya msanii huyo na Mwandishi wa SBS nchini Kongo BYOBE MALENGA.
Share





