Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.
Chama tawala cha DR Congo chashtumu upinzani kwa kujaribu kuyumbisha taasisi za nchi hiyo na kujaribu kuchoma moto bunge la taifa hilo.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






