Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Yaliyojiri Afrika:Rais Tshisekedi adokeza uwezekano wa kuwania muhula wa tatu

African Union President and President of Congo Democratic Republic Felix Tshisekedi

African Union President and President of Congo Democratic Republic Felix Tshisekedi Credit: EPA/LUDOVIC MARIN / POOL MAXPPP OUT/AAP Image

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amedokeza juu ya uwezekano wa kuwania muhula wa tatu, na kuchelewesha uchaguzi mkuu unaotarajiwa katika muda wa miaka miwili ijayo.


Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari Jumatano mjini Kinshasa, Tshisekedi alisema hajaelezea nia ya kutaka muhula wa tatu, na kuongeza lakini kuwa ikiwa watu watamtaka kuendelea, atakubali.

Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaweka ukomo wa mihula miwili tu ya uraisi. Upinzani ndani ya taifa hilo umekuwa ukimtuhumu Tshisekedi kuwa na nia ya kuibadilisha katiba ili aendelee kutawala, ukisema hatua yoyote katika mwelekeo huo utakuwa mapinduzi ya katiba.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now