Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Uchunguzi wa gereza la vijana waambiwa mlinzi alijaribu kumnyonga kijana

Dylan Voller (katikati) akiwa pamoja na waandamanaji wenzake
Dylan Voller (katikati) akiwa pamoja na waandamanaji wenzake Source: Picha: AAP

Kijana mmoja ambaye ni mfungwa katika gereza la watoto katika jimbo la kaskazini ame eleza kikao cha uchunguzi kwa dhulma dhidi ya watoto gerezani kuwa, mlinzi mmoja ndani ya gereza hilo alijaribu kumnyonga.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Kijana mmoja ambaye ni mfungwa katika gereza la watoto katika jimbo la kaskazini ame eleza kikao cha uchunguzi kwa dhulma dhidi ya watoto gerezani kuwa, mlinzi mmoja ndani ya gereza hilo alijaribu kumnyonga.

Madai hayo yalitolewa katika kikao cha tume ya uchunguzi kwa gereza za watoto za jimbo la Kaskazini, kikao hicho kinafinyiwa mjini Alice Springs.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now