Claude: "Mashirika ya misaada kuwasaidia wakimbizi kujaza fomu za Sensa 2021"

Sensa ya 2021

Fomu za sensa ya 2021 zajazwa mtandaoni Source: Australian Bureau of Statistics (ABS)

Kila miaka mitano wakaaji wote pamoja na wageni nchini Australia, hushiriki katika zoezi la hesabu ya sensa ambayo ni lazima kwa kila mtu.


Katika sensa za kabla, wafanyakazi kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, walibisha hodi katika kila nyumba kufanya zoezi hilo. Ila janga la COVID-19 lime lazimisha zoezi hilo kufanywa katika hali tofauti kabisa.

Bw Claude ni afisa kutoka shirika la IMS katika kanda ya Illawarra, jimboni NSW. Shirika la IMS hutoa huduma mbali mbali kwa jamii zawahamiaji na wakimbizi wanao ishi katika maeneo ya Wollongong. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bw Claude aliweka wazi jinsi shirika lake pamoja na mashirika mengine kandani, yanavyo wasaidia wateja wao kushiriki katika zoezi hili la Sensa, wakati wana endelea kuzingatia masharti na vizuizi vyaku kabiliana na usambaaji wa maambukizi ya Coronavirus ndani ya jamii.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now