Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC

Anzacs means the soldiers of the Australian and New Zealand Army Corps and included many Indigenous and multicultural servicemen and women.

Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.


Published

Updated

By Melisa Compagnoni

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.


Siku ya ANZAC ni wakati wa kuwakumbuka waliohudumu katika vita na migogoro na kwa Waaustralia wengi, ni wakati wa kujumuika pamoja kuheshimu historia.

Kuelewa Siku ya ANZAC kunamaanisha kuelewa hadithi kamili ya Australia. Hiyo inajumuisha kutambua michango na changamoto zinazowakabili watu wa Asili na wana Visiwa vya Torres Strait.

Kadri hadithi hizi zinavyozidi kuchangiwa kwa upana, zina saidia kuchora picha kamili ya Australia ya zamani—na ya sasa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now