Jinsi ya kurudi kwako kazini kwenye mazingira ya COVID-salama

Mfanyakazi atumia kitakasi akiwa amevaa barakoa ofisini

Mfanyakazi atumia kitakasi akiwa amevaa barakoa ofisini Source: Getty Images

Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waaustralia wawili kati ya watano wana wasiwasi juu ya usafi mahali pao pa kazi, wakati zaidi ya robo wamekuwa na wasiwasi juu ya vijidudu tangu kuanza kwa janga hili.


Wakati wafanyakazi zaidi wakirudi makazini, swali ni je! Una wasiwasi juu ya kusafiri kwenda kazini na kutumia muda wako katika sehemu za pamoja?

Kwa ushauri zaidi juu ya jinsi ya kupunguza hatari ya maambukizi ya COVID-19 mahali pako pa kazi, tembelea tovuti ya SafeWork Australia website.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now