Mama Elie afunguka jinsi volcano ya Mlima Nyiragongo iliathiri familia yake

Wakaazi wachunguza uharibifu wa volcano ya Mlima Nyiragongo

Wakaazi wachunguza uharibifu ulio sababishwa na mlipuko wa volcano wa Mlima Nyiragongo, Goma, DR Congo. Source: The New York Times

Wakaazi wa maeneo ya mji wa Goma, walijipata waki kimbilia usalama wao baada ya volcano kulipuka ghafla katika Mlima Nyiragongo.


Mlipuko wa volcano hiyo ulitokea bila onyo lolote, na ulisababisha vifo vya watu 15 pamoja na uharibifu wa zaidi ya nyumba 500 pamoja na mali nyingi sana.

Mama Elie ni mkaazi wa jimbo la Victoria, Australia. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, alitueleza jinsi wanachama wa familia yake walijinusuru kutoka mlipuko wa volcano hiyo pamoja na uharibifu na hasara iliyo sababishwa.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now