Tathmini yatangazwa kwa tamaduni ya kazi katika bunge la taifa

Kiongozi wa serikali ndani ya Seneti, Simon Birmingham

Kiongozi wa serikali ndani ya Seneti, Simon Birmingham Source: AAP

Serikali ya taifa imetangaza tathmini kwa tamaduni ya kazi ndani ya bunge la taifa.


Tangazo hilo limejiri wakati waziri mkuu Scott Morrison ame weka wazi imani yake kwa waziri wa ulinzi Linda Reynolds, ambaye alilazimishwa kuomba msamaha kwa wathirika wa madai ya ubakaji ambaye alikuwa pia mfanyakazi wake wa zamani.

 


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now