Tim "Uwekezaji wa serikali kwa huduma ya malezi ya watoto hautoshi!"

Mwalimu pamoja na watoto darasani

Source: Getty Images/Ariel Skelley

Mweka hazina wa taifa alitangaza bajeti ya mwaka huu, ambayo ilikuwa yapili kutangazwa chini ya wingu la janga la COVID-19.


Kama ilivyo desturi serikali iligawa hela katika sekta mbali mbali, na sekta ya huduma ya malezi ya watoto nayo ilipokea mfuko wa uwekezaji wa dola bilioni 1.7 kwa muda wa miaka mitano.

Je wazazi wanao tumia huduma hizo wana maoni yapi kuhusu kiwango cha uwekezaji, ambacho sekta hiyo imepokea? Je wameridhika au la? Bw Tim ni mtaalam wamaswala ya uchumi napia familia yake hutumia huduma hizo, alichangia maoni yake na Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu uwekezaji wa serikali ya shirikisho kwa sekta ya huduma ya malezi ya watoto.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now