Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

UNHCR yapewa siku 14 kufunga kambi za Dadaab na Kakuma nchini Kenya

Wakimbizi wapiga foleni kupokea vyakula

Participants join the queue for water and food distribution in Kakuma Refugee Camp, Kenya. (SBS) Source: SBS

Serikali ya Kenya imetoa muda wa siku 14 kwa shirika la umoja wa mataifa kuhusu wakimbizi UNHCR, kuzifunga kambi za wakimbizi za Daadab na Kakuma kufuatia vitisho vya kiusalama vinavyosababishwa na baadhi ya wakimbizi.


Hatua ya serikali ya Kenya kutoa muda huo wa wiki mbili kwa shirika la UNHCR kufunga kambi hizo za wakimbizi, imetafsiriwa kama iliyochochewa na mgogoro baina yake na Somalia.

Serikali ya Kenya na ya Somalia, zimekuwa katika mgogoro wa kidiplomasia baada ya Somalia kuishitumu Kenya kwa kuingilia maswala yake ya ndani.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now