Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Wakenya wajitokeza kunusuru familia mjini Sydney, Australia

Mgonjwa ahudumiwa ndani ya chumba cha upasuaji

Mgonjwa ahudumiwa ndani ya chumba cha upasuaji Source: Pixabay

Jamii yawakenya wanao ishi mjini Sydney, wanasifa ya ukarimu na mshikamano.


Sifa hiyo ilijaribiwa hivi karibuni, wanachama wa jamii hiyo walipo alikwa kusaidia familia yamkenya mwenza, ambayo imejipata chini ya shinikizo kubwa.

Ndugu na rafiki wa familia husika, wali fafanulia idhaa ya Kiswahili ya SBS, masaibu yanayo wakumba wapendwa wao.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now