Wakristo kote nchini Australia, wajumuika katika ibada za Pasaka

Ibada ya pasaka

Waumini washiriki katika ibada ya pasaka Source: Getty images

Kwa wa Australia wengi, Ijumaa ya pasaka ni siku ya familia na sherehe, kuchangia vyakula vya baharini na kuenda fukweni. Na kwa wengine ambao ni wakristo, ni siku yaku abudu.


Viongozi wakisiasa nakidini, wame adhimisha siku ya ijumaa ya pasaka, kwaku tathmini jinsi mwaka wakutengwa nakujitenga, umesaidia kuimarisha moyo wataifa, pamoja nakumulika uhaba wa usawa.

Umekuwa mwaka wenye changamoto kwa waumini ila, kuregezwa kwa vizuizi katika sehemu za ibada katika sehemu nyingi nchini, kume leta mabadiliko kwa wakristo. Baadhi walitumia fursa hiyo kuwa enzi wanao mulika ukosefu wa usawa ndani ya jamii. Askofu Mkuu wa kanisa laki Anglican Geoffrey Smith, alizungumzia giza la ubaguzi wa rangi pamoja na unyanyasaji wa nyumbani.

Wakati kanisa la Uniting, lili wahamasisha wanawake, waendelee kuzungumza, dhidi ya mashaka na jamii iliyo puuza sauti zao.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now