Bonyeza hapo juu kwa mafunzo ya Kiingereza chepesi, kuhusu namna ya kuzungumza kuhusu kiasi na idadi katika Kiingereza cha kila siku.
#100 Kiasi na idadi

“A few” means a small number, while “quite a few” means more than expected, almost a lot. Source: Moment RF / Maria Korneeva/Getty Images
Je, unajua jinsi ya kutumia kiasi na idadi katika kiingereza ya kila siku?
Share



