SKIP TO MAIN CONTENT

Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi

[JPG]_How-Australia-Works_Ep0.jpg
Artwork and design by Francisco Ortiz Lozano and Yudai Urushima.

Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi.


Published

Updated

By Josipa Kosanovic

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Skip to podcast episode content

Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi.


"How Australia Works" ni mwongozo wa vitendo wa kuelewa serikali, sheria, na ushiriki wa kiraia nchini Australia, uliotayarishwa kwa kuzingatia mahitaji ya wahamiaji na jamii zinazozungumza lugha mbalimbali.

Kupitia maelezo yaliyo wazi na visa halisi, mfululizo huu unaangazia ngazi tatu za serikali nchini Australia, majukumu ya bunge, serikali kuu (tawi la utendaji) na mahakama, pamoja na jinsi sheria zinavyotungwa na kurekebishwa. Pia unaelezea jinsi ya kuuliza maswali, kutoa hoja au dukuduku, na kushiriki katika kutoa maoni.

Sikiza vipindi vyote vya mfululizo huu katika lugha yako.

Yanayo jiri baadae: Fahamu ni ngazi ipi ya serikali inayohusika na huduma unazotumia kila siku.

How Australia Works inapatikana katika lugha 60. Sikiza mfululizo huu katika lugha zingine.


Credits:

How Australia Works is a podcast from SBS Audio and Australia Explained.

Host: L-FRESH The LION

Research and journalism: Gonzalo Aguirregomezcorta

Sound design, mix, original music and theme: L-FRESH The LION

Law and civics consultant: Dr Jacinta Sassine, School of Law, Western Sydney University

Artwork and design: Francisco Ortiz Lozano and Yudai Urushima

Written, created and produced by: Josipa Kosanovic

Editor, Australia Explained: Roza Germian

Head of Educational and Essential Services, SBS Audio: Janine Googan

Tunatambua Walezi wa Asili wa ardhi kote nchini Australia ambapo podikasti hii hutayarishwa na kusikilizwa. Tunatoa heshima zetu kwa Wazee wa zamani na wa sasa, na tunawatambua watu wa asili wa Aboriginal na Wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait kama Wenyeji wa Kwanza wa bara hili.

Nyaraka za Bunge kutoka Baraza la Wawakilishi la Australia kwa hisani ya Bunge la Australia. Hakimiliki ya Jumuiya ya Madola ya Australia. Inatumika chini ya leseni ya Creative Commons, kwa kuzingatia masharti husika ya leseni.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now