Abang "nilimuona mama baada ya miaka 22 yakutengana naye"

Abang Anade Othow, Balozi wa Refugee Council of Australia.jpg

Wiki ya wakimbizi huadhimishwa nchini Australia kati ya 18 Juni hadi 24 Juni kila mwaka.


Australia imewapokea nakutoa hifadhi kwa makumi yama elfu ya wakimbizi kutoka sehemu zote za dunia.

Asilimia kubwa ya watu wanao zungumza Kiswahili nchini Australia, waliwasili nchini kama wakimbizi hata hivyo uzoefu wao unatofautiana.

Katika sehemu ya makala maalum ya Wiki ya Wakimbizi, SBS Swahili ilizungumza na balozi wa shirika la Refugee Council of Australia (RCOA) Bi Abang Anade Othow aliye changia nasi uzoefu wake, wakuwa mkimbizi pamoja na miradi anayo simamia kuboresha maisha yawatu ambao wanaishi katika mazingira magumu.

Kwa taarifa zaidi kuhusu RCOA, bonyeza hapa chini: www.refugeecouncil.org.au

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service