Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Alimaliza wa kwanza katika hesabu za kura za kwanza ila, kura za upendeleo zili enda dhidi yake.
Sarah Witty amerejesha kiti hicho cha ubunge, kwa chama cha Labor baada ya miaka 15.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





