Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.
Ila wakati uchaguzi mwingine unakaribia na raia wengi wa Afrika Kusini wana pitia wakati mgumu kumudu gharama za maisha, maswali yana ulizwa kuhusu maendeleo ya nchi hiyo tangu kura ya kwanza ya 1994.






