Alfred aeleza sababu zakujiondoa katika kampeni za ubunge wa Chesumei

Alfred Koech. mgombea wa Ubunge wa Chesumei

Alfred Koech. mgombea wa Ubunge wa Chesumei Source: Alfred Sergeant

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya, zina endelea kupamba moto haswa baada ya vyama kufanya mchujo wa wagombea pamoja nakuwatea vinara na manaibu wao.


Alfred Koech ni balozi wa chuo cha Edith Cowan katika jimbo la Magharibi Australia, amekuwa na ndoto yakuwalisha jamii yake ya Chesumei katika bunge la taifa mjini Nairobi, Kenya.

Wiki chache zilizo pita Bw Koech alienda nchini Kenya, kwa nia yakuwania ubunge wa Chesumei, ambayo iko katika kaunti ya Nandi. Ila, alipata eneo hilo ni ngome ya Naibu wa rais ambaye anawania Urais kupitia chama cha Meto wa Kenya Kwanza. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bw Koech aliweka wazi nia yake yakuingia katika siasa za Kenya pamoja. Katika mazungumzo hayo alifanya tangazo maalum kuhusu uchaguzi mkuu ujao wa Kenya.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

  


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service